Ni nini unatakiwa uwe nacho au kufanya kabla ya kuwa na Tovuti ya wakala wa Utalii



 Misingi ya kujenga tovuti ya biashara ya watalii

Chapisho hili  lina jumuisha vidokezo na mikakati kutoka kwa mtaalamu wa uuzaji wa kidijitali Luck moshy, na mwanzilishi wa Yekrinaweb.

Kuunda tovuti bora kwa biashara yako ni muhimu kwa sababu, mara nyingi zaidi, ni sehemu yako ya kwanza ya kuwasiliana na wateja wako wengi. Wageni wanapopitia tovuti ya mteja wa biashara ya utalii, wanakuwa wamejipanga.

Leo, mtu anapopita mtandaoni ili kutafuta safari ama ya bei nafuu. Hapa ndipo tovuti yako ina jukumu muhimu katika kumwongoza msafiri katika safari yake yote..

Nini unatakiwa kuwa navyo kabla ya kuanzinsha tovuti ya wakala wa Utalii  wajulikanao kama (Tour Operators na Travel Agent)

Moja kwanza unatakiwa kujuwa kwamba kunatofauti kubwa kati ya kampuni ya waendeshaji watalii(Tour operators company) na kampuni ya wakala wa usafiri (Travel Agent company).
 
Sasa hapa inategemea unataka kuanza biashara ya mtandaoni kama nani Kama ni  kampuni ya waendeshaji watalii (Tour operators company) hapa unawajibu mpana  kwa maana ni lazima ukaende kwanza kule (Brela Tanzania Shirika la kusajili majina ya makampuni) kisha uwasilishe pendekezo la jina la kampuni yako kisha wao watalipitia kna kukagua ili kuona kama labda lina endana na lingine kama hamna ndiposa watakukubalia ili uweze kusajili jina la biasha yako ya utalii.

Hatua inayofuata ni kupata cheti na leseni ya bishara hapo brela

Hatua nyingine ni kupata TALA

What to Learn

In business and tips are here

UFllRXRaZDJpLytvYUpFSzZoL1c3NWRTbkltV2VJeEgwMUo1Y3ZvNEU0bz01